VideoMPYA: Mabibi na Mabwana Dully Sykes ametuletea ‘Nikomeshe’ yupo na Harmonize

Mabibi na Mabwana Dully Sykes ametuletea ‘Nikomeshe’ yupo na

Abdul Sykes a.k.a Dully Sykes anazo heshima zake nyingi bongoflevani ambapo leo ametuletea brand new video inaitwa ‘Nikomeshe’ akiwa amemshirikisha Konde Boy Harmonize. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama, ukishaitazama hapa chini usiache kuandika comment yako ili akipita Dully Sykes mwenyewe ajue watu wake wamesemaje

 

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*